Leave Whatsapp group bila members wengine kujua

Mi nilileft magroup yote...kuna jamaa akawa ananirudisha na yy nikamblock!!

Magroup yanakera sana..huko zimejaa tambo na michango isiyo na kichwa wala miguu...
 

Wewe ndio unaendeleza ubwege ndugu nani aliyekuambia kuleft katika group la whatsapp nikuonyesha unajiona?
Umeelimika lakini naona still your primitive in mind
Kuna mambo ambayo yanakuwa ni katika misingi yako na mengine ni misingi ya wote
hivi kabla ya whatsapp ulikuwaje? mbona unaendekeza itikadi ambazo hazipo? acha ubwege bana wewe ni mwanaume
inamaana bila whatsapp hautawapenda ndugu na marifiki zako?
Niukumbuke huuu uzi kwa ubwege wako? nimeshawahi left mara kibao sehemu zingine bila kuaga.

Inamaana ukiwaeleza ndugu zako hivyo bado watakukatalia? au nyie ndio wewe na marafiki zako mnajua bila whatsapp hakuna kuheshimiana

UMEPEWA LUGHA NZURI SANA ZA KUTUMIA NAMNA YA KUZUNGUMZA NA WATU WAKO ILI UWEZE KULEFT ILA AKILI YAKO INAKUSHAURI HAWATAKUBALI SASA UKILEFT KIMYAKIMYA BILA WAO KUJUA NA SIKU WAKIJUA SI NDIO UTAONEKANA BWEGE KABISA?
ACHA UZUZU KUWA NA MAAMUZI YA KIUME WHATSAPP GROUP SIO HESHIMA HESHIMA NIKUWEKA MAWASILIANO MAZURI NA WATU WAKO WAKARIBU
 
Ni way out mkuu, sio kwamba kila tatizo unaweza kujibiwa humu na mnalalamikia sana IT as if kila tatizo IT wanaweza kusolve humu, vitu vingine unaweza kugoogle, anyway Whatsapp mods third parties wanaweza kuweka hiyo feature mbeleni
 
Leave WhatsApp Group Without Notification

The best way to leave a WhatsApp group without notification is to opt for the mute or disable group notifications. This way, you will never be prompted about the messages being communicated in the WhatsApp group. You can also turn on this notification setting any time you wish.

For disabling WhatsApp Group chat notifications, go to ‘Settings’ of your WhatsApp.

Tap ‘Notifications’
 
Kwahyo mkuu umeamua kuja kuanzishs uzi huku kisa nmekuadd kwenye group langu la harusi?
 
Mkuu, naona hujawekwa kwenye Yale magrupu ya michango ya Harusi uone yanavyokera.. Toka uone lawama zake ...
Usibishane na watoto jf imejaa na watoto ni nani atakayemuadd mtoto kwenye group la michango ya harusi?
Atatoa nini?
 
Waambie nahisi wengi ni watoto tunatofautiana hekima
 
Hiyo ndio nmeifanya ila inanijazia server kwenye cm yangu coz msg zote zinaingia tofauti tu ni kwamba hakuna kelele zikiingia
 
Hawakumind inategemea na status yako katika watu hao
 
Kwa hiyo hamna mwenye ujanja huo kutoka ktk group kimya kimya maana bila watu kuona wala kujua!!!????? Maana naona mnajibu tofaut na majibu anayoyataka basi semeni hamuwezi kuliko kujifanya kujibu majabu ambayo sio.
Naunga mkono hoja
 
Hawakumind inategemea na status yako katika watu hao
Hicho kinachoitwa “status” ndo kinawafanya watu waendelee kuwa watumwa. Kama umeona kabisa group halina tija na limebakia kuforwardiana ujinga, no matter whatever “status” you think you have, usiogope kusepa kisa unahofia watakuonaje. Kuondoka group haimaanishi kwamba utakuwa haucommunicate na baadhi ya members privately
 
Nilikuwa kwenye kundi moja la shule ya sekondari..sasa hilo kundi liligeuka kama vile hakuna ninachoweza kufanya bila hilo kundi.Nikajiuliza hivi kwa miaka yote hiyo tuliyoachana shuleni hadi hapa nilipofikia mbona sikupata msaada wa hao wanakundi?!Nilichukua maamuzi magumu nikaondoka,najua walisema sana ila niko huru.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Post ujinga tu mkuu hata mavi, lazima admin atakutoa
 
Uza simu au poteza kaa kama miezi miwili hivi utajikuta haupo automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…