Wrong gues....nimesema uko nyuma kua shez my super star na kama nikiambiwa leo hii nioe fasta wakwanza kumfikiria atakua n yy...life wasnt fair enough to let us roll....
Utajudge nxt tym baada yakujua kinaga ubaga cha kwann tuliacha....
Magombe nasubiria story kwann mliachana. its touching.... nimekutana na aina hii ya maisha najua ilivyo.......Kwa wengine ni story nzuri..intresting..lakini wengine tumepita hukoooo

been there ndugu....mtu hawezi elewa why mmeachana ila hata mimi nikiambiwa utamuoa nani my ex is the first girl to pop into my mind ingawa nimeshatoa mahari kwengine....if only.....