Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very specialSure the boss!....ila kila ambacho hua nakiona n kitu cha maana bado naona hakitamaanisha how thnksfull and gratefull i am to her...
Will thnk of wat u said...
umeona! ila kausha story yake nzuri!Tehe tehe....inawezekana pia...nakumbuka our couple was the among the sounding one's pale chuo...everyone fell in love wth it..i knew km kuna ambae ana hisia kali anaweza kujua ths story belong to who an who...
Sure the boss!....ila kila ambacho hua nakiona n kitu cha maana bado naona hakitamaanisha how thnksfull and gratefull i am to her...
Will thnk of wat u said...
Unaweza ishi the rest of your life usimpate kama huyo....ingawa now you think its easy kupata wife material
Okaaaaay! Ndo inavokuwaga unamsifia wakawaida ukitaka kuoa unatafuta KISU cha hatari! Ndo maana tunakufa na miweaving, minyusi bandia, ilimradi tu uwe kisu.
Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very special
Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very special
Shikamoo kaka binamu!!
Usisababishe watu wauze mashamba ya urithi bure!!
Mahaba nichinjie baharini hiyo!!!!
Misifa ya kumwaga,halafu umemuacha!! Aaaaargh!!!!
Ila andika kiswahili best,wengine kiklithtu is not kweyabo!!
Lini utaninunulia nami, au mie si special? BTW Vicky ilishatick so kuangalia tamthilia kama kawa. Thanks again.
Naingoja hiyo season II!!Iyo inaitwa mahaba nipoteze kama meli ya malaysia...ok nxt tym ntasema kwann nliachana nae wkt nampenda mpaka kesho...
Pia wakat uo mwingine ntaandikwa kiswahili mwanzo mwisho
mapenzi ndivyo yalivyo... huanza kimzaha mzaha. usiombe mmoja anogewe wakati mwingne alikuwa anapita tu.
Fanya hivi mtafutie zawadi ya kumshukuru ambayo itakuwa kitu very special kama hereni za diamond hivi umpe ..itakuwa ni thanks ya forever
Diamonds iwe hereni au mkufu ndio zawadi perfect kwa mwanamke very special