CAG wa buza
Member
- Apr 2, 2023
- 13
- 32
Hakuna anayeachwa ghafla, hakuna asiyejua kuwa hapendwi ila bahati mbaya sana kwetu, tunaziheshimu zaidi hisia zetu kuliko ishara zao kwetu.
Ukipendwa hutotumia nguvu, usipopendwa utatumia sana nguvu! Iko wazi, heshimu ISHARA
Ukipendwa hutotumia nguvu, usipopendwa utatumia sana nguvu! Iko wazi, heshimu ISHARA