Learn how to get money frm ur Man

Truth should be told, nakubali pia naungana na wewe, lengo kubwa la kuchepuka sio kuwasaidia wanawake ambao hawana wanaume ila ni tamaa binafsi, ni katika hali ya kutafuta na kuboresha experience pamoja na burudani ya kubadili ladha..
Hivyo tuombeane ili tuweze kuridhika na mke mmoja na wasio na waume tuachane nao wapambene na genye zao, pia tuombeane kupata nafasi ya kutubu kwa baadhi tutakaochepuka kabla ya kifo..🤝🤝
 
Kila mtu atabeba msalaba wake au haujui hilo? Ninyi si hamtaki kukubali kwamba ni dhambi mnasema eti Mungu ameshawaruhusu sasa tunaanzaje kuwaombea watu wenye imani hizo? Halafu hivi kila unachokitamani ni lazima ukimiliki?
 
Kila mtu atabeba msalaba wake au haujui hilo? Ninyi si hamtaki kukubali kwamba ni dhambi mnasema eti Mungu ameshawaruhusu sasa tunaanzaje kuwaombea watu wenye imani hizo? Halafu hivi kila unachokitamani ni lazima ukimiliki?
Madam sijasema Mungu ameturuhusu ila nimesema nakubali ni kosa ila tuzidi kuombeana ili tuweze kuacha ikishindikana tutubu ili tufurahi wote katika ufalme wake..

Kila mtu kubeba msalaba wake mwenyewe sio hekima ndio maana amri kubwa kuliko zote ni upendo ukiona nakosea nielekeze kwa upendo pia uniombee madam upendo ni kutokatia tamaa mapungufu ya mtu badala yake kumsaidia tena kwa upendo..

Sio kweli kwamba kila unachotaka lazima ukimiliki japo tumeambiwa ombeni nanyi mtapewa..
Mimi nasisitiza tupendane, katika hili madam nipe mkono maana hakuna namna 🤝🤝
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto njoo uone mtu analia huku unavyowaita wanaume mafurushi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Perimeter kumbe hilo neno huwa linawachoma enh nakazia mafurushi makubwa nyie
😂😂😂😂😂
Mafurushi na nusu.
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…