Learn how to get money frm ur Man

Hahahaha uwiiii agiza gari naja kulipa wanaume wengi wanaolalamika ni wale wasiokuwa na pesa hawajui tu jinsi wanavyozidi kuudhihirisha umasikini wao humu halafu ukiwakuta kwenye comments wanajitetea sasa kila mtu anasema ana pesa

Sie wengine yetu macho tu ila wenye pesa wanajulikana na ikumbukwe kuna tofauti kati ya mwenye pesa na mwenye hela siyo kila mtu anaweza kuwa na pesa ila kila mtu anaweza kuwa na hela yaani kwa kifupi ni kwamba wale wenye pesa ndo wanaishi ila hawa wenye hela wanapumua tu
 
Nilisema hao manabii mnaowatolea mifano kuwa walikuwa na wanawake wengi mkumbuke pia waliua kwahiyo mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu tu hao manabii na mitume waliua? Nijibu hilo
Daah hili suala ni mtambuka madam, mfano wakristo kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi wakati huo huo upande mwingine kuoa zaidi ya mmoja ni suna..
Sasa sipendi kutolea maamuzi ya upande mmoja masuala mtambuka
 
All the above could be true, my emphasis on 'could'. These beings called men only God knows what satisfy them especially on bed.
 
All the above could be true, my emphasis on 'could'. These beings called men only God knows what satisfy them especially on bed.
When it comes to bed, there is no single formula to satisfy a man or a woman...
 
Not these men of nowadays, hehehe.

As a woman, I learn first to hustle whatever a man gives should be a bonus.
 
Daah hili suala ni mtambuka madam, mfano wakristo kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambi wakati huo huo upande mwingine kuoa zaidi ya mmoja ni suna..
Sasa sipendi kutolea maamuzi ya upande mmoja masuala mtambuka
Tolea mfano kutokana na dini yako kwani dini nyingine wewe zinakuhusu?
 
Punguza jazba madam nadhani unasahau watanzania wote ni ndugu..
Jazba in what sense? Kisa hilo swali lilivyokaa au? Kwani lilitakiwa likaeje ili nionekana sina jazba? Anyway back to the point ndiyo watanzania wote ni ndugu ila unajua fika kuwa kwenye maswala ya kidini hatujawahi kuwa ndugu hata siku moja

Na siyo Tanzania tu bali duniani kote migogoro ya kidini haijawahi na haitakaa kuisha japo kwenye mambo mengine tunaelewana vizuri kwahiyo kama wewe unataka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja haujakatazwa kuhamia kwenye dini ya bi mdogo
 
Congrats you so humble, nimepokea ushauri wako wa kuhamia dini ya bi mdogo..
Mambo ya dini huwa sipendi kudeal nayo sana katika jamii yetu ya watanzania...
Swali, wewe unapinga kuchepuka tu au mpaka kuoa mke zaidi ya mmoja?
 
Adam aliumbiwa mwanamke mmoja tu Evah na siyo zaidi yaani ubavu wa Adam ulitumika kumuumba Evah tu na siyo zaidi sasa mimi ni nani hata nibishane na uumbaji? Kama Mungu angetaka mwanaume awe na mwanamke zaidi ya mmoja aidha mahawara au wake halali basi angeonyesha msisitizo angemuongezea Adam wanawake wengine

Kwahiyo hapo hata mkisema eti msiziamini dini bado uumbaji utawaumbua tu uchumba au ndoa ni vya mwanaume mmoja na mwanamke mmoja tu hayo mengine fanyeni at your own risk huku mkijua kwamba ni dhambi ila siyo msingizie kwamba Mungu ndo kawaruhusu eti kwa sababu tu manabii na mitume wake walifanya hivyo wakati nao aliwapa adhabu na wenyewe walitubu
Congrats you so humble, nimepokea ushauri wako wa kuhamia dini ya bi mdogo..
Mambo ya dini huwa sipendi kudeal nayo sana katika jamii yetu ya watanzania...
Swali, wewe unapinga kuchepuka tu au mpaka kuoa mke zaidi ya mmoja?
 
hawaezi elew hawa,hapa wanasoma huku wanabinua midomo wakijiuliza (mimi huyu nimfanyie hivi,avimbe bichwa)....Ni wabishi wanataka wafanyiwe wao hayo yani.

Kila siku wanatuita mafurushi.
 
Madam unajitahidi sana kupangua hoja za msingi kwa point kuntu🤝🤝...
Ila unatakiwa kukumbuka na kuelewa KILA JAMBO NA WAKATI WAKE, wakati wa Adam kuchepuka ilikuwa haiwezekani yani hata angetaka asingeweza..
Pia kuna mabadiliko yanayotokea kulingana na mazingira husika, hivi kila mwanaume akiwa na mke mmoja bila mchepuko unahisi wanawake wote watapata huduma japo kidogo?
Hii mambo iko deep sana, ishu iko hivi naturally and psychologically mwanaume anaumia sana mke wake akichepuka sababu anaanza kupata hofu ya kupata watoto ambao sio wake wakati mwanamke ishu ya watoto kutokuwa wake haipo kabisa kwa hiyo kinachomuumiza sio sex ila anaumia kuona mume wake anahudumia sehemu nyingine mbali na yeye yani anapeleka mali mbali na yeye. Kwa hiyo kimsingi mwanamke anaumizwa na resources kutawanywa wakati mwanaume anaumizwa na sex iliyofanywa asijepata uzao feki..
Kimsingi ukiweka pembeni dini na emotion ni bora mwanaume achepuke kuliko mwanamke provided mwanaume anamtunza vizuri mwanamke..
Bila shaka umefurahia elimu hii na utaniahidi kuunga mkono na kubadilika katika mtazamo chanya🤝🤝
 
hawaezi elew hawa,hapa wanasoma huku wanabinua midomo wakijiuliza (mimi huyu nimfanyie hivi,avimbe bichwa)....Ni wabishi wanataka wafanyiwe wao hayo yani.

Kila siku wanatuita mafurushi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atoto njoo uone mtu analia huku unavyowaita wanaume mafurushi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Perimeter kumbe hilo neno huwa linawachoma enh nakazia mafurushi makubwa nyie
 
Siwezi kuunga mkono dhambi na ndo kama nilivyokwambia kwamba maandiko yanasema uzinzi na uasherati ni dhambi na hayajasema kwa jinsia ipi halafu kuhusu swala la wanawake kuwa wengi duniani kuliko wanaume hiyo siyo sababu ya ninyi kuchepuka

Labda nikwambie kitu kimoja ambacho pengine unakijua ila unajifanya haukijui ni hivi siyo kila binadamu alikuja hapa duniani kutimiziwa mahitaji yake yote ndo maana kuna matajiri na masikini yaani ili maisha yabalance ni lazima kuwe na waliopata na waliokosa hivyo pia lazima kuwe na waliooa/walioolewa na wasiooa/wasioolewa na hao waliokosa walipangiwa kukosa na siyo lazima wapate

Kwahiyo wewe oa mwanamke wako mmoja kama Mungu anavyotaka tulia naye hao wengine waliokosa waume wewe hawakuhusu halafu wanaume sijui mnatuona wanawake ni wapumbavu sana yaani kabisa eti mnataka tuamini huo uongo wenu kwamba mnachepuka ili muwasaidie wanawake wasio na wanaume wakati kiuhalisia hata mioyoni mwenu mnajua kabisa kuwa mnachepuka kwa tamaa zenu wenyewe mlivyo wabinafsi hivyo tangu lini mkafanya vitu kwa ajili ya wanawake hapo mnafanya kwa sababu mnajua ninyi ndo mnafaidika zaidi

Halafu kwani hizo roho za msaada zipo kwenye maswala ya ngono tu? Kama lengo ni kusaidia kweli mbona hamuonyeshi jitihada kutaka kusaidia masikini wasio na mali ili angalau kila mmoja awe na mali ila mnataka kusaidia tu wanawake wasio na waume ili kila mmoja awe na mwanaume? Bado narudi pale pale kwamba hakuna jinsia iliyoruhusiwa kutenda dhambi ila tunatenda dhambi kwa sababu sisi binadamu ni dhaifu na hata Mungu anaelewa ndo maana anatupa nafasi ya kutubu ili atusamehe kabla hatujafa mwenye macho na aone mwenye masikio na asikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…