Lets Share
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 517
- 724
Kutii ni dalili ya nidhamu na adabu, uhuru wa kuongea ni matokeo ya demokrasia kukua.Unajua kwanini waliitii? Walikuwa na uhuru wa kuongea kama sisi? Halafu kwako wewe katiba na tamaduni ndo vya kuheshimiwa kuliko maandiko matakatifu? SMH
Haki ya kikatiba ni lugha ya picha kuonyesha kuna haja ya kulinda na kuheshimu jambo fulani na sio kutaka kuchambua kiundani au kukosoa..Haki ya kikatiba katiba ipi? Halafu katiba ni nini? Waliotunga katiba ndo waliotuumba?
Kutii ni dalili ya nidhamu na adabu, uhuru wa kuongea ni matokeo ya demokrasia kukua.
Hata kwenye maandiko tunaona ndugu yetu mwenye hekima alivyotumia hekima yake vema kwa wanawake [emoji1666][emoji1666]
It depends with the level of your services. If you impress my desires then no doubt, imma be showering you with them benjys like errday πMen stop being stingy
Kumbe walitubu uzeeni ila ujanani walifanya yao inakuwa ngumu kukujibu kabla sijazeeka sasa ila walitubu na walizeeka tuwe na subira tuoneHahahaha mnanifurahisha mnavyopenda kutolea mifano ya kina Solomon na David kwamba walioa wake wengi na walikuwa na michepuko hivi mmajua hao mwisho wao ulikiwaje? Mnajifanya hamjui kwamba Mungu aliwapa adhabu na walipozeeka walikuja kutubu dhambi zao wenyewe?
Kuwa nabii au mtume hakumfanyi mtu kuacha kutenda dhambi kwani nao siyo malaika ni binadamu kama sisi halafu kama ulikuwa haujui hao wote waliua na kuua kabisa sasa je mnataka kusema kwamba kuua siyo dhambi tena kwa sababu kuna manabii na mitume wa Mungu waliua? Naomba nijibu hilo swali
vyombo vya starehe vinamchanganya akili nani? mimi au? una hoja za kitoto sana,yaani mimi nichanganyikiwe kisa mwanamke mmoja, wakati kuna wanawake mia mbili ambao nimewasave ili nije nipige baade,achana na wanawake wapya naokutana nao,then nichanganyikiwe kisa mwanamke mmoja?? unanichekesha!!,
It depends with the level of your services. If you impress my desires then no doubt, imma be showering you with them benjys like errday [emoji38]
Nilikuwa najaribu kukuelewesha kwamba kuchepuka ni dhambi na siyo haki ya mtu yeyote ndo maana hao walitubu ingekuwa ni haki basi wasingetubu halafu unajua wewe utakufa ukiwa na miaka mingapi na utajuaje kama kifo kitakukuta ukiwa umeshatubu? Na haujanijibu swali langu la pale juu nasubiri jibu.Kumbe walitubu uzeeni ila ujanani walifanya yao inakuwa ngumu kukujibu kabla sijazeeka sasa ila walitubu na walizeeka tuwe na subira tuone
Desires zetu ukiulizia popote duniani ni hizo hizo tu hasa wengi ni 6 & 8 au 9!Desires? Hizo desires zenu hadi zitimizwe zote na mridhike ni leo? Maana ninavyowajua siyo kwamba wanawake hawajitahidi kufanya mnayotaka ila tu wanaume hata wanawake wafanye nini lazima mtafute sababu za kuwatafutia makosa tu
Hahahaha halafu Kila leo wanalia kuhudumia wake/wanawake zao maajabu hahahahWanaume walishajifanya wao ndio wana hela wanawake hawana hela
π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘ π‘
Desires zetu ukiulizia popote duniani ni hizo hizo tu hasa wengi ni 6 & 8 au 9!
Shida nyingi huanza mnapolega lega kufanya hizo parts.
Swali gani sijajibu? Adhabu walizopewa au?Nilikuwa najaribu kukuelewesha kwamba kuchepuka ni dhambi na siyo haki ya mtu yeyote ndo maana hao walitubu ingekuwa ni haki basi wasingetubu halafu unajua wewe utakufa ukiwa na miaka mingapi na utajuaje kama kifo kitakukuta ukiwa umeshatubu? Na haujanijibu swali langu la pale juu nasubiri jibu.
Ndo nasema kutimiza hizo zote kwa pamoja na kwa usawa ni ngumu kama ambavyo ni ngumu kwa mwanaume kuwa na pesa halafu akawa romantic wanaishia kusema "yaani nikutafutie pesa na bado niwe romantic kwako?" So you see how you guys are unfair
Hivi wana hela skuiz eeh?Kama mengi ama baharesa?ama ni vijihela vyetu kina hohehahe?ndomana Kila Leo wanaishia kulialia jf kisa ugumu wa maisha na mishahara ya ngama,hahahah asilimia 80 ya thread zao ni kupigwa mizinga, mwanaume mwenye hela halii kuombwa hela na mwanamke,wengi wamefulia so stress zao wanakuja kuzitolea mitandaoniNdo nasema kutimiza hizo zote kwa pamoja na kwa usawa ni ngumu kama ambavyo ni ngumu kwa mwanaume kuwa na pesa halafu akawa romantic wanaishia kusema "yaani nikutafutie pesa na bado niwe romantic kwako?" So you see how you guys are unfair
Sio hivo nduguvipi kuna jamaa ulimpa hakuridhika akacheat?
πππHivi wana hela skuiz eeh?Kama mengi ama baharesa?ama ni vijihela vyetu kina hohehahe?ndomana Kila Leo wanaishia kulialia jf kisa ugumu wa maisha na mishahara ya ngama,hahahah asilimia 80 ya thread zao ni kupigwa mizinga, mwanaume mwenye hela halii kuombwa hela na mwanamke,wengi wamefulia so stress zao wanakuja kuzitolea mitandaoni
Kalaghabaho hahahahah povuuu ruksa
Kwelieeeh[emoji848]Mmhh jaman Mbn me sipo hivo at!! [emoji32]
Swali gani sijajibu? Adhabu walizopewa au?
Ikumbukwe kawaida ni kama sheria na imeandikwa tiini mamlaka iliyowekwa duniani sasa kuchepuka kwenye mahusiano sidhani kama ni kosa kwa mamlaka iliyowekwa kwetu hapa?