Hapa jf nawabyooshea mikono ni zaidi ya Usalama wa Taifa
Mkuu nimejaribu kutoa somo hapo juu lakini baadhi wanakuja na hayo maneno "Beyond Reasonable Doubt!" They don't care that this is a Civil Case!
Tatizo la hii hukumu hili hapa
1.Sheria ya uchaguzi inasema katika kifungu 108[1] kuwa hapa ukitumia lugha ya matusi,kumdhalisha mshindani wako kijinsia,unakuwa umetenda kosa.Na unarusiwa kushiriki chaguzi
2.Wakati kifungu 108[2] kuwa ikibainika umetoa rushwa au hali inayoonyesha umetoa hongo ni kosa na adhabu yake ni kufungiwa kushiriki uchaguzi kati ya miaka mitano au kumi.
Mantiki ni kuwa jaji kasikiliza kesi kwa kutumia kifungu 108[1] na ametoa hukumu kwa kutumia kifungu 108[2] kitu ambacho ni kosa
Huo ndiyo uelewa wangu
Hapo jaji kakurupuka sana ktk hii hukumu,kajikita kuchambua na kusifia historia na maisha ya mashahidi pamoja na walalamikaji huku akiponda direct ushahidi wa upande wa pili.Kisheria ni kwamba MTU YEYOTE timamu anaweza kutoa ushahidi Mahakamani.Sasa jaji anapokadaa ushahidi wa makada wa chadema ata simuelewi kabisa.Unapoanza kuisoma mwanzoni kabisa hukumu hii utagundua tu matokeo yakoje kwani hoja nyingi hazikujibiwa vizuri.Nashukuru Mungu kwamba hukumu hii haina weledi wa kisheria na hivyo basi kuna kila dalili ya kushinda ktk rufaa.Nachohofia ni endapo uzandiki utatokea na mahakama ya rufaa ikakubaliana na maamuzi haya na kisha kuyafanya kuwa msingi/kioo cha maamuzi yatakayofuata baadaye i.e precedent.Hilo likitokea,basi huenda peoples power ikatakiwa kuiweka mahakama under microscope kwani iwapo haki haipatikani mahakamani njia inayobaki ni moja tu,PEOPLE'S POWER
It is a considered view of this court that the parent legislation in matters of elections exhaustively deals with the criterion of people who are competent to institute election petitions. So that under Section III (1) of The National Elections Act, Cap. 343, it is provided that an election petition may be presented by one, or more of the following persons namely –
"(a) a person who lawfully vote or had a
right to vote at the election to which the petition relates;
(b) a person claiming to have had a right to
be nominated at such election;
(c) a person alleging to have been a
candidate at such election; and
(d) The Attorney General."
In the material petition, the petitioners therefore, have the statutory rights under Section III(1)(a) of The Elections Act (supra) to institute this petition. Their rights to institute the same, therefore, don't necessarily rely on other legislations due to the simple reason that they averred in paragraph 2 of the petition that they were registered voters and were entitled to vote at the election to which this petition relates. Copies of their voters' cards were annexed thereto and marked A(1-3).
Tatizo la hii hukumu hili hapa
1.Sheria ya uchaguzi inasema katika kifungu 108[1] kuwa hapa ukitumia lugha ya matusi,kumdhalisha mshindani wako kijinsia,unakuwa umetenda kosa.Na unarusiwa kushiriki chaguzi
2.Wakati kifungu 108[2] kuwa ikibainika umetoa rushwa au hali inayoonyesha umetoa hongo ni kosa na adhabu yake ni kufungiwa kushiriki uchaguzi kati ya miaka mitano au kumi.
Mantiki ni kuwa jaji kasikiliza kesi kwa kutumia kifungu 108[1] na ametoa hukumu kwa kutumia kifungu 108[2] kitu ambacho ni kosa
Huo ndiyo uelewa wangu
Msijadili umbe sio credibility tuu kuna fuse inakosekana! Watumishi wenzi wanakili!
Hapa Nilitegemea Judge apate Vinasaba kutoka kwa EL,mtoto aliyezaliwa wa Batilda, Baltida na Mumewe Kabla ya kutoa hukumu yake. Hivi itakuaje kama aliyosema Lema ni Ukweli?
Mkuu evoddy,
Ume-quote kutoka kwenye Edition ipi maana Section 108 (1) ya National Elections Act, Cap. 343, R. E. 2010 inasema kama ifuatavyo: "Pursuant to the limitation imposed by sub-Article (7) of Article 41 of the Constitution, the provisions of this section shall apply only in relation to the election of a candidate as a Member of Parliament."
Sasa hayo mambo ya "lugha ya matusi" yametokea wapi?
Mkuu unaweza kutupa link ya latest edition? Edition niliyo nayo nashindwa kuiunganisha na zile regulations za maadili ya uchaguzi za 2010.
Vipi kama thread ingehamishiwa jukwaa la sheria?