marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Hapo kwenye lugha yaonekana watakuwa walisoma shule moja na best ako Magu.,au wewe unaonaje?Kulikuwa na ulazima wa kutumia lugha ya kiingereza wakati hawawezi kukimudu? sentence ya kwanza " The Hai District Muslim Community have honor to award .... ". Tumieni tu lugha ya kiswahili.
Anywa, Mbowe ni mbunge wa Hai, kwa hiyo ni futari ya wapiga kura wake nothing particularly out of ordinary.
nadhani na wewe ni muhanga wa hiyo lugha,anywa ndo nini?!Kulikuwa na ulazima wa kutumia lugha ya kiingereza wakati hawawezi kukimudu? sentence ya kwanza " The Hai District Muslim Community have honor to award .... ". Tumieni tu lugha ya kiswahili.
Anywa, Mbowe ni mbunge wa Hai, kwa hiyo ni futari ya wapiga kura wake nothing particularly out of ordinary.