Aisaee ! huo mfano ni killer !!Uprofesa bila hekima ni sawa na nyumba self yenye choo cha shimo
anaangalia kama kumekucha salama mana nasikia alilala hapoAnachungulia nini uovu wake utamfata kila aendapo kama kivuli chake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]anaangalia kama kumekucha salama mana nasikia alilala hapo
Jua kuwa hapo ni alfajiri. Pro pesa pumba alilala hapo ofisini kulinda kiti baada ya kujua kuwa Zenji kimenuka. Zee zima likatinga ofisini saa 4 usiku na kugongwa na mbu usiku kucha!! Chezea njaa wee! Kumekucha salama, anacheki nje huku domo halijui mswaki! Hapo kichwani hakuna uchumi wala models za uchumi! Ni njaa na ulaghai tupu. Huyo ni Pro Pesa Pumba katika harakati za kuganga njaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisaee ! huo mfano ni killer !!