Acha tuYaani huyu Mzee anajizalilisha sana,sijui hana ndugu au marafiki wakumshtua hapo alipo kwenye huo usingizi mzito.
Mwache alale humo, amepigika anaogopa kupanda daladala...mwacheni eti jmnUnachungulia nini!!... Toka nje ya siasa uchwara hizo!... Unasubiriwa nje...
Wala usimcheke hata wewe inaweza kukutokea kama tu ukipokea zile pesa za kitengoYaani huyu Mzee anajizalilisha sana,sijui hana ndugu au marafiki wakumshtua hapo alipo kwenye huo usingizi mzito.
Wanapewa wenye exposure lakini wasio na misimamoHivi hela huwa wanapewa viongozi wa upinzani wenye kutofautiana na wenzao tu ila wengine huwa hawapewi pesa?
Cc chadema hatujamuingilia mtu yeyoteNyie chadema mbona mnaingilia mambo ya cuf yanawahusuje? Mpinzani halisi kaja fungeni midomo yenu mmemshibdwa mh mkuu mnaingilia ya cuf wakati mmetangaza wenyewe oooh ukuta ukuta mheshimiwa kaubomoa mmeshindwa kumfanya chochote
Dah.. sijui..ila ni mwanaume tu kama walivyo wengine..kama Lowassa na Mbowe tu ...πsamahani kuuliza si ujinga hivi huyu jamaa ana mke na watoto?
najua ni mwanaume lakini je ana mke na watoto?Dah.. sijui..ila ni mwanaume tu kama walivyo wengine..kama Lowassa na Mbowe tu ...π
Dah...kwani Lowassa na Mbowe wana watoto?najua ni mwanaume lakini je ana mke na watoto?