Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Labda hakuelewa alipotajiwa bei akafikiri ndiyo aliyoandika, yaani hakujua.

Inajulikana kuwa watu ukiwaambia kwa lugha ingine, kwa mfano 10k yeye anaongeza sifuri zake.
 
wahenga walisema akili ni nywele, bahati mbaya hawakusema nywele za wapi, yawezekana unakomaa na kunyoa za kwapa au kwenye naniliuu , kumbe ndo akili zilipo
 
Hizo simu aina ya Vertu zipo zinazofika hiyo bei aliyoitaja Mzee Jangala (Le Mutuz) kutokana na customisation.
Sio simu mpya, mimi nilikutana nayo Mwaka 2009 Vertu Ferrari edition ...bei yake kwa wakati huo niliiogopa hata kuishika. Hizi wametoa hivi karibuni ni touch version na bei ni ya kawaida sana hiyo kutokana na hizo simu.
 
Labda hakuelewa alipotajiwa bei akafikiri ndiyo aliyoandika, yaani hakujua.

Inajulikana kuwa watu ukiwaambia kwa lugha ingine, kwa mfano 10k yeye anaongeza sifuri zake.
na degree zote alizo nazo asielewe maneno kama haya, kati ya wasomi wenye digrii nyingi Africa huyu na mgabe ni miongoni mwao
 
ANapenda showoff sana mimi kila nikipishana na gari yake huwa nabaki na sikitika tu noah imegongwa gongwa nahisi zaidi ya kuangalia maji na oil hakuna service inayofanyika, superstar anatembelea gari mbovu? bora mm na ka ist kangu walau nakapenda
Uliniahidi utaniletea simu km hyo tehehehehe,halafu uache kuponda gari la le mubebiziiiiii u know what hahahahaha
 
Alafu uyu jamaa inaweza ikawa yeye ndo sababu ya mtumbuo katika familia bila kujijua
 
69090660b530adea4581f6452e7f2d57.jpg

Hii siku ndio akili zikimwagika......!
 
Kumbe huyo jamaa huwa mnamchukulia serious!!!? Hamjui kadiri mtu unavyozeeka na kuwa mbabu au mbibi unarudi utotoni ambapo unaruhusiwa kuongea chochote na kisilete madhara
 
Back
Top Bottom