Le Mutuz kwanini umetudanganya?

Le Mutuz kwanini umetudanganya?

saa yako inasoma kirumi eeehh haya lunch double tree wewe ndio unatakiwa kuishi kama shetani😀
Doh! hapana best, nafataga story za town u knoww pale double trees kuna madon wa woot wa TZ, u know pale kila anaeingia celebrity,
HAahaha kuna mibebez ya kufwa mtu
Enewei nikupe lunch?
 
umri wake na ubongo havishabihiani kabisa, umri miaka 60+ ubongo kawekewa wa mtoto wa miaka minne songobingo ndo linapoanzia sasa
 
Wenzie kina Kikwete na Pinda sasa hivi wanalea wajukuu, ye bado kutwa yupo Facebook tu. Hasara hii.
 
Back
Top Bottom