Le Mutuz Hukui Tu ??

Status
Not open for further replies.
He he he he Ze Big Show Internationali Le Mutuz de Supa
 
Kosa lake kushika chupa ya bia, kunyoa kipara, kutokufunga kifungo cha juu au kusmile kimagumashi?
 
Jf kwa wivu kama vipi mjipange tena sana
 
Le mutuz ana historia ya kunywa sumu zaidi ya mara tatu kisa ni ugomvi wa mapenzi na hawa watoto wadogo wanamtangazia kuwa hawezi zile shuhuli zetu.
Jamani msimchokoze huyu asijekunywa sumu ana roho ndogo sana, ni muda sasa hajanywa sumu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mzee Le Mutuz anaonewa husda tu! kwani kuna ubaya babu kukaa na wajukuu zake!
 
Kwani kafanya nini?alafu si alikulaga ban ndefu humu ndani,hivi alisamehewa au bado yupo segerea?
 

Jamani eti kweli...kubwa ovyo, apunguze bia akili itarudi
 
liko sege wacha like huko la hovyo tu.. hata babangu alikuwa mkubwa tu ila siwezi tetea upuuzi kama hili janga la kitaifa....
 
Hivi plus size hakunaga rangi ya kijani? Aisee Natalia, biashara hizo zinakupita. Mletee kakangu le mutuz some yellow and grewn shirts!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…