Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani kuwa critical wakati huu, kunahitaji mtu kuwa na guts, ila sikubaliani na wewe katika zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue'.Sawa Mkuu ila Wewe hakuna tatizo Kwako uzuri wa wakati huu uliopo ' Critical Minds ' hazitakiwi Tanzania bali zinatakiwa tu zile ' minds ' za ' Jipendekeze, Nisifu, Ninyenyekee na Nikuteue '.