man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
huyu mtu mbona kapooza sana!
hhahahaaaaaa shauri yake
je huyo le mutuz alipiga kura?
best umevote ktma?Mabandiko mengi lakini hana jipya kama mashabiki zake hawakupiga kura. Endeleeni kumpanda kuwa ni bora kumbe mwampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
best umevote ktma?
kwa mara ya kwanza nimepiga kura ktma toka ianze
Maneno ya wakosaji hayo. Watu wame vote. Kwanini na yeye hakupigiwa hizo. Watu wazima wengine hovyo. Badala ya Ku reason wao wanakimbilia Ku blame.
Tena ngoja nika vote tena niwaambie na watu ninaowafahamu wa vote zaidi.
umeona eeeehhh
sijui anamlenga nani sasa kwamba hakustahiki kupewa tuzooo
ye kasema hana shida ya tuzo sasa je..?!
mwenye shida kapewa..
wao wanalia nnn......
Kanishangaza kwahyo Kiba hastaili tuzo kwa maneno yake hayo. Wasijidaganye Kiba wa long time na anakubalika na kila level ya watu jamani kama mashabiki wanaomshabikia mtu wao hawakupiga kura je? Hafu yeye anaweza kumuona ni Michael Jackson wa Tzania ila watu wanamuona tofauti na wakawaida.
Hivi hawajiulizi kwanini Jide anaheshima na kila mwaka huwa hakosi tuzo. Maneno ya mkosaji. Watanzania tulimpigia kura tukiamini yeye ndo anayependwa.
mi nataka niweke salio la maana next weeek nipigieee weweeeeeeeee
waje kutukana tena hapa
yaani huyu haba sijui vp na lengo lake ni
kutaka ktma wachakachue apewe anaemtaka yeye
wakati kura hawapigi
acheni kulalamika nyie washabiki wa daimond
Hivi wao wakishinda ndo haki. Wengine ndo kosa tena ndo wanazidi kuharibu mana walivyokuwa wanapokea ilikua sawa. Wajipange kupiga kura.
No offence,kwani huyu mutuz n nani?????😕