Lè Mbebez Uko Wapi Aisee...!

Anajua kabisa kwamba hapo kuna kiba100 ndiyo maana hana woga.
Kabisaaaaa watu hawajui ujasiri kwenye miili kama hiyo huwa tunautoa wapi.........hakuna mshendende hapoo kitu bamia MTU unaogopaje....
 
Kabisaaaaa watu hawajui ujasiri kwenye miili kama hiyo huwa tunautoa wapi.........hakuna mshendende hapoo kitu bamia MTU unaogopaje....

Hahahahahahah. Dah, nimeipenda hiyo mkuu. Vocabulary mpya nimepata hapa mshendende. Lol.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…