LCD screen na Port za output

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Wakuu mwenye ufahamu wa hii kitu nataka niunganishe lcd mbili moja iwe inatoa output picture kwa mwenzie nimeshindwa ninazo singsung lcd msaada wakuu
 
u mean dual ouput ya pc moja? vga card (video card) yako ndo itasema. u see mpaka udisplay na monitor mbili lazima uwe na output mbili tofauti za video na since kazi ya vga ndo kutoa video.. kama ni desktop, una bahati as unaweza kununua vga card mpya ambayo ina outputs nyingi e.g hdmi, hdmi vga na vga, au hdmi, dvi na vga. video cards za dektops zimejaa madukani na they come in all sorts of prices. kama shida yako ni kupata display mbili tu, unaweza kachukua any sort of video card lakini kama una mpango wa kufanya zaidi kama kucheza games on these dual output, itabidi ufanye research kidogo (or u ask here again :biggrin:) about which cards are best suited for u
 
Mkuu labda niweke sawa haya maelezo unielewe nina frame ya duka ya kuuza hizi screen picha nimetoa kwenye receiver kwa hiyo screen moja inaonyesha sasa kinachonisumbua ni nataka na hii nyingine ionyesha.Nikiangalia sioni port za output kama hizi tv za migongo hapo ndo nilipokwama
u mean dual ouput ya pc moja? vga card (video card) yako ndo itasema. u see mpaka udisplay na monitor mbili lazima uwe na output mbili tofauti za video na since kazi ya vga ndo kutoa video.. kama ni desktop, una bahati as unaweza kununua vga card mpya ambayo ina outputs nyingi e.g hdmi, hdmi vga na vga, au hdmi, dvi na vga. video cards za dektops zimejaa madukani na they come in all sorts of prices. kama shida yako ni kupata display mbili tu, unaweza kachukua any sort of video card lakini kama una mpango wa kufanya zaidi kama kucheza games on these dual output, itabidi ufanye research kidogo (or u ask here again :biggrin:) about which cards are best suited for u
 
aha. nilifikiri unataka kuunganisha kwa PC :biggrin:
kama unataka kugawa signal ya receiver into multiple displays, the simplest way najua ni kwa kutumia HDMI Splitters

How do HDMI Splitters Work
An HDMI splitter is a small electronic device used to duplicate a single HDMI signal and output it several times. hii HDMI Splitter ni mashine ambayo unachukua your receiver/game/ dvd unaingiza kwa port yake alafu nayo ina hdmi cable mbili tofauti ambazo ndo utaunganisha kwa tv zako mbili. hivo atleast ndo niliona mzee wangu amefanya kwake, I dont know lakini kama utapata hizo cable hapa bongo (my old man lives in Kenya). sidhani kuna njia tofauti na kutumia splitter

37mkn.jpg

leh
de8yv8.gif
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu kwa kunielewa nimeumiza kichwa sana wacha nizichomeke flash kwenye usb ziendelee kuonyesha
 
Anyway mimi si mtaalamu wa electronics ila ninachoweza kusema ni kuwa huwa kuna matundu matatu yenye rangi nyeupe, nyekundu na njano, jumla huwa yako 6, yaani m3 ni video in na ma3 ni video out sasa mi naona just simple unatoa kutolka video out kupeleka kwenye tv nyingine kama video in. Naamini itafanya kazi, hebu jaribu hii. LED yangu inayo hayo matundu. Hapa mimi huwa natoa kwenda kwenye sub woofer sema woofer haina video lakini haya mawili yanafunction.
 
Mkuu sijui kama umenielewa vizuri ni kwamba nataka picture kutoka kwenye led moja kupeleka kwenye led nyingine through output port ila sioni port hizo za output zipo za input mbili(Av in),hdmi na vga.

Back
Top Bottom