Lazima upigwe na butwaa......

Lazima upigwe na butwaa......

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,896
e1be63a2338be0b1c86e66914ba0d725.jpg
...pale mwanafunzi wa Magufuli uliemlala anapokuletea taarifa kwamba ana ujauzito wako na anahisi ameshashtukiwa wakati huo huo kwenye Tv unamsikia mkuu anawaka kuhusu jambo hilo!!!

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
Ukipanda mbegu shambani unategemea mazao. (Nimekaa siti ya mtu hapa)

G.Don-Master.
 
Sasa miaka 30 jela na huyo mtoto atakayezaliwa hawaoni kwamba atakoswa malezi ya baba hapa tunazalisha panyaroad tu adhabu ibadilishwe
 
Back
Top Bottom