Lazima ujifunze haya

Kuna like andiko lako ulisema usimsaidie maskini ....like andiko kiboko..asante kwa chakula cha ubongo
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mbongo bila maelezo mengi atasema hukumueleza
 
Mambo ya kufikirisha
Inahitajika akili kubwa wakati wa kutafakari mambo kama haya

Ahsante sana
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Inabidi kile kitabu cha Mithali kwenye Bible kiongezewe chapter moja mbele halafu kiwekwe haya maneno kwenye hiyo chapter.
 
Big up sna ndugu hakika ww n mwanafasihi.wanao think beyond kama mm najua wamekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…