Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 648
- 1,411
Mpaka dkt bashiru
Mpaka pedo kama inataka kuchanika sasa hivi!!!!! KipoozeoSijaona nguo ya kubana au isiyo na heshima....Hivi washawai kuona msambwanda uliobanwa na pedopusha? bashiru kakata shingo ila FA kaona hakuna jipya ndio maana hata hakugeuza shingo.
Asee wabunge wanafeli wapi?, sa msambwanda upo wapi hapo?
Aliwatia matatani wakware
Au ana kiburi???Only in Tanzania...
View attachment 1804993
Ehh kajaliwa kumbeKatibu mkuu kiongozi kaona nae asipitwe na msambwanda![]()
Pole yake sana...