Angalia mzigo wa kulia kwa huyo do go...Hii picha bado sijaielewa, yaani dogo analia kwa kupewa mzigo mdogo au? Nauliza hivyo kwa sababu kama huu mzigo ungekuwa mzito asingebeba hivi maana unaonekana uko juu bila kugusa chini kuashiria kuwa anaumudu vizuri, au vipi?