Lazima ucheke

Sigma ficha upumbavu wako usifiche kitambi
 
Sijaelewa hizi picha zipo kutokana na lipi?ufafanuz kwa aliyeziweka.
 
mkuu hii thread yako imenifanya nicheke tu nilipoifungua, nilivyozidi kusoma hizi commend nikacheka zaidi, mpaka naandika hii commend bado tu nacheka
 
mkuu hii thread yako imenifanya nicheke tu nilipoifungua, nilivyozidi kusoma hizi commend nikacheka zaidi, mpaka naandika hii commend bado tu nacheka
Mkuu watu hawaelewi,wala mi sina nia mbaya ila ni changamoto tu,ila wajanja wataona poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…