Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

Lazima nishambuliwe kwa mada ya leo

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Habari zenuuu, wakubwa shikamoonii! 😀

Yaliyonikuta acha niwasimulie pengine inaeza ikawa somo kidogo!! Basi bana kuna kimtandao flani ivi kisocial network.. Picha nyingi sana nimetupia.. Miselfie ya kumwaga.. Mapicha ya kila tukio siunajua tena... Siku moja jamaa mmoja akanifollow.. Ikawa kila nachotupia lazima akipende au aache ujumbe cute, nice pic na kadhalika.. Sikumind wala nini coz nkajua ni fan wangu tu... Siku moja akanitafuta kwa direct aahaa sikujibu... Tenaaa.. Sikujibu.. Akantumia namba ya Simu kimya.. Ahaa nkaona isiwe kesi baada ya struggle yake kitambo nkaona acha tu nimjibu.. Maybe anaeza akawa serious kidogo.. Maana most of men wanakuaga tu stubborn..

😜

Basi tukaanza kuchat apa na pale, kujuliana hali na nini na nini ikawa stori mingi sana.. Na ahadi za kukutana siku moja... Tukawa tunawasiliana kitambo kama mwezi ivi Ila alikuwa Mr busy man.. Kila tukipanga tuonane inapanguliwa.. Waii nkajizoelea.. Huku nlikua nakijamaa kimeniapproach tukaingia kwenye relation japo nlikua simfeel kivile Wu knows kinachotokea mbeleni i was kinda havn a crush for him or sumn..... Na hakuwahi kuconnect charger.. 😁.. Haikuwa in kiviilee...
Basi uku sasa kuchat na kuchat automatically tukawa wapenzi na man Wa mtandaoni.. Naadmit nlikua naenjoy his campany kwenye simu na nikamcrush loh.. One day ikapangwa.. Ikapangika.. tukameet na the guy yani alikuwa mcheshi halaf bonge la msomi na muelewa.. Tukapiga vinywaji that day yani fresh.... Yani a real gentleman no touchn no kicn mpaka nkafurahi... Akanrudisha zangu I lov you nyingi kwa sana nkashuka zang moyon nkaanza kumfeel maukweli sasa... sema japo nlikua simuamini amini coz sina tabia ya kuamini guys from online kabisaaaa..(heey sorry men).. Na sikuwahi kumeet na yoyote pande izo..... Kwaiyo ikawa kimachale machale.... Lakini aaahnhaa okay nkamfeel na kumuamini kidogo._@##%- yes..




Sa next weekend kidate changu kikataka kunitoa out club flani ivi amazing.... Uku nikamuaga baby mi nalala nkajifanya kadisent, na ye akaniambia he is having some drinks with friends kama vipi anifate tuenjoy alikuwa anataka sana tu kuturn up usiku mzima... Mmh Niko tyt nkazingua.... Nimechoka na niniinii... Uku huyu ndo yuko njiani anakuja kunifata tukabanjuke zetu... Looh.. Baby mi nalala.... Okay 9t I love yu mikisses duuuhh...


Basi bana hao mpaka mitaa ya kati na baby part two...... Niko nabanjuka nini na mshkaji akaniambia cousin yake na friend wake wanakuja wameboeka kiana na wanataka kuturn up, so haitakua mbaya kama tukijumuika.. Poa baby aina noma.. Mida kufika Wee.. Doooh.. wazee hao wakatia timu... Mara kha!! Cousin huyu apa.. Enhee!! Macho kuntoka.. Si yule baby Wa mtandaoni aisee.. Sura kunshuka.. Moyo kunidunda.. Nataka kuondoka siez.. Full presha.. Mara kupigana vibega.. Baby uku ndo anatambulisha baby mama wake mbwembwe nyingiii.. Eee baby mtandaon sasa @#£%& Uku ananiuliza kitty hapa ndo rum ndo umelala????? 😞Mweh!!!! Baby part one haelewi.. Mbona siwaelewi kwan mnafahamiana???? katika harakat za kuulizana ulizana nkaona isiwe kesi mie huyooooo nkajikuta Niko nje nimekaa kwenye bajaji namwambia dreva tuondoke kimenuka.. Nkawaacha walijijua wenyewe!!!++ Dah ile adha jaman siez kuisahau.. Pigiwa Simu sana.. Msg za kutukanwa na baby part one, Wa mtandaon such a gentleman kunitumia vitext vya kuniblame.. Japo nlimzimikia wa mtandaon coz alikua real so kama nilivyomdhania... Ndo ikawa ivyoo.. Aaarghhhh Nkawablock wote.. Stress for what??.. Sasa Leo katika pita pita za town kwa mbaali nkamuona baby part one Wa kitaa yulee anafunga mlango Wa gar ikabidi nigeuze njia.. Daaaahh haaahaaa somtyms bn a player sio vizur ndo niliumbuka ivyo...



Note: most of people here mnajifanya desnt sana.. Nyie just ongeeni Ila ndo life La kitty sasa ishatokea ntafanyaje
 
Hahaha.....ukitaka kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja lazima.apasuke msamba...
 
hhaahhaha

muombe msamaha baby part two huyo msomi
 
Hii story ulipewa shuleni au na bibi nyumbani?vp inaendelea?
 
Khaaa kazi ipo na haya mapenzi
 
Tehe mapenzi ya wazaramo hayo unaambiwa ukibeba ndoo ya maji usiache Na kidumu ama sufuria alikai kwenye figa moja lazima yawe matatu.
Umenipa raha kitty.sasa labda ulipanga kuwaplay mpaka lini!??
 
Tehe mapenzi ya wazaramo hayo unaambiwa ukibeba ndoo ya maji usiache Na kidumu ama sufuria alikai kwenye figa moja lazima yawe matatu.
Umenipa raha kitty.sasa labda ulipanga kuwaplay mpaka lini!??

Nlikua nampango Wa kumdrop Wa kitaa
 
Back
Top Bottom