Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,875
- 2,203
sasa mke wa nani??
Wa aliye mtoa ndio maana hata ipite miaka kumi wakionana anamtanulia someni hata vitabu vya dini maana ya maagano ni ipi?
Mungu mwenyewe anaijua thamani ya bikra ndio maana kasema mshiriki tendo baada ya ndoa NA WOTE MSIWE USED NOTE HILO
ingawa wanawake wamezidi kutumika sana anapitiwa na vidume havina idadi huyo unamuoa NA UNAJIHESABU NINA MKE