Lazima mtu Aombe poo

Lazima mtu Aombe poo

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
attachment.php

ImageUploadedByJamiiForums1441482832.287403.jpg
 
Wamesahau hata anayetoka ikulu alikua kwenye list of shame..Mkapa alifungua kampuni akiwa Ikulu...kwa kifupi ishageuzwa pango la walanguzi siku nyiingi
 
Kwa hiyo unaona sifa kuongozwa na viongozi wenye kariba zinazo fanana(wapiga deal)
kasome ilani ya chadema(ukawa) na rasimu ya pili ya katiba ya wananchi, ndo anachoenda kufanyia kazi Lowassa, deal litatoka wap? bunge linalokuja sio kama lile mlilozoea la kulindana kisa ni wana ccm
 
Naomba kujua ivi "poo" huwa ni kitu gani?

Make nakumbuka wakati nacheza chandimu au kombolela, tulikua tunaita "foo" ambapo baada ya kua mkubwa nikagundua ni foul.
 
Naomba kujua ivi "poo" huwa ni kitu gani?

Make nakumbuka wakati nacheza chandimu au kombolela, tulikua tunaita "foo" ambapo baada ya kua mkubwa nikagundua ni foul.

Poo nikama kuomba break au to give up on something yan Apo ndo navozan mm
 
hata angekuwa jambazi sugu sisi ni huyo huyo tu
 
kasome ilani ya chadema(ukawa) na rasimu ya pili ya katiba ya wananchi, ndo anachoenda kufanyia kazi Lowassa, deal litatoka wap? bunge linalokuja sio kama lile mlilozoea la kulindana kisa ni wana ccm

Waambie Tanzania ni yetu sote; safari hii tunaamua wenyewe hatima ya maisha yetu badala ya kuamuliwa na kikundi cha watu chini ya mia wanaodhani wana hati miliki ya nchi hii. Kura anapewa Lowassa hata kama uamuzi huo utakuwa shida kwetu ilimradi safari hii tumeamua wenyewe; watu wametuamulia miaka 50 na bado tunalialia tukilia kwa maamuzi yetu wenyewe ni afadhali zaidi.
 
Hii siyo kauli ya ajabu kutoka kwa vijana wanywa viroba hapo ubavichani.

wanaotegemea kusoma chuo kikuu bure, hawafikiri hata pesa za accomodation wataztoa wapi,wakati pesa za accomodation ktk coz zingne ni kubwa kuliko ada, hawafikiri hata kama kuna vyuo vya private cjui watajilipia ada huko.
 
HAHAHHA huyu fisadi lowasa atakufa kwa presha sasa jamani maana huko aliko nadhani ni kisukari na presha vinazidi kumpanda
 
Back
Top Bottom