Lazima mtu Aombe poo

Lazima mtu Aombe poo

Nyerere alisema "Ikulu sio pango la walanguzi!", lakini aliyempigia debe Mr. Clean ndio ailipiga dili za ulanguzi hatari!. Mwenyewe akafa kihoro!. Taifa linajua, ndio maana tunapigania katiba mpya kupitia ukawa!.
 
Godbless Lema:Ni heshima kwa Mungu kumzomea na kumtukana mtu fisadi kama lowassa
 
Mimi nasema hivii malizeni maneno yote mabaya kumuhusu huyu Rais anayesubiliwa kuapishwa lakini huu ndio mwisho wenu ongeeni hata mabaya ambayo hatukuwahi kusikia hatubadili msimamo.
 
kasome ilani ya chadema(ukawa) na rasimu ya pili ya katiba ya wananchi, ndo anachoenda kufanyia kazi Lowassa, deal litatoka wap? bunge linalokuja sio kama lile mlilozoea la kulindana kisa ni wana ccm
Well said mkuu. Mijizi ccm hatuitaki tenak
 
attachment.php


View attachment 284034

Ccm fitna wanaijua
 
Hii siyo kauli ya ajabu kutoka kwa vijana wanywa viroba hapo ubavichani.
Mwaka huu CCM inaondoka, kwahiyo mngeanza kujipanga namna ya kuishi bila CCM, badala ya kupoteza muda kuandika andika upuuzi hapa JF.
 
Mwaka huu CCM inaondoka, kwahiyo mngeanza kujipanga namna ya kuishi bila CCM, badala ya kupoteza muda kuandika andika upuuzi hapa JF.

Utakuwa upumbavu wa hali ya juu sana kwa ccm kukabidhi nchi kwa fisadi lowassa bora kuwapa Tadea lakini siyo lowassa.sahau hiyo
 
Back
Top Bottom