mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
Hivi ni lazima kila bint/mama awe na kidoti
Simaanishi vile vya kuzaliwa kama kidoti(joketi)
Siku hizi kumukuwa na wimbi la wasichana kuwa na vidoti usoni mwao
Kuna vile feki na vya kuzaliwa
Nabaki najiuliza ni urembo au kutokujiamini au tamaa
Wanawake tujiamini
View attachment 184304View attachment 184304View attachment 184304View attachment 184306
Mungu Ana kusudi lake kuumba hivyo ulivyo
Ref: dida diva joketii
urembo tu kidoti kitamu wewe
mmmhh nawe umekosa mada
Hayo ni mapambo tuu ...Km mtu akiamua kuweka ilimradi hayaathiri, si dawa za kichina muache..
Mwanamke mapambo na kujiremba
nilichoshuhudia picha tu ila mada sujui inaongelea nini ?
mmmh hayo wanayopaka kuweka hivyo vidot ni natural?
Sio kichiña?