Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Kunusa boxer au chupi nadhani common kwa watu wengi sana. Lakini mada iko vizuri, binadamu tuna share likes and dislikes nyingi sana
 
Hahahaa yaani mpaka mtu unashindwa kushika vitu vizuri, kuoga au kufua. Hii hali ya kula kucha sijui inasababishwa na nini?
Mkuu

mim nadhan inatokana na kudekezwa, ni sawa wale wanaopenda kunyonya vidole, muda wote mkono upo mdomoni.

Mtoto mwenye tabia hzo hasipokemewa utotoni, anaendelea na tabia hiyo hadi ukubwani
 
Back
Top Bottom