Lazima heshima irudi

Mimi babake mdogo ukimalizana na BABA mzazi Njoo kwangu halafu kwa babake mkubwa Ili ukizungushe vizuri na wajomba pia nitakuelekeza walipo Malaya mzoefu unafikiri unamkomoa nani
 
Bi dada kisasi hakifut yaliyotokea..
In the end.. revenge worth nothing.
Acha Mungu amnyooshe mwenyewe
 
Hizi ni dhambi, fikiria baba yako apigwe picha yuko MTUPU! Baba yake kakusoea nini? Kumbuka KARMA is a BITCH will come back to haunt your ASS.

 
Kweli wanawake hakiri zao za kuokota kama hawajaokota maamuzi yao hua yanawakost sana na kuanza kulia,hapo anajiona mjanja kumbe ni bonge la maraya lililoshindikana,umekoswa kisasi kingine umeona K ndyo inafaa kulipiza kisasi,kwa taarifa yako unaliwa na hauolewi mzee anamaliza haja zake huoni tena,tafta njia nyingne
 
nitashangaa kama utaniambia umewai kwenda shule!
 
Hapo humkomoi yeye but unajikomoa wewe pole sana [HASHTAG]#Bigdada[/HASHTAG] think twice
 
Aisee, sawa bidada, ushaliwa na mzee and then what? khaaaaa hii haijakaa sawa.
 
Think big my sister
Sasa hapo naonaunajikomoa tu
 
Ivi shosti unaongea kwa hasira tuu au ndio umeamua kufanya kweli? jee umefikiria kua wewe ni mwanamke mwisho wa siku AIBU ni yako sio ya mzee wa X wako, i don't understand what are you trying to prove,lakini nahisi una hasira sana
ndio mana unataka kufanya unachofanya,sababu mwisho wa siku hakutokua na tofauti baina ya huyo X wako na wewe..
Mwanamke kweli ha revenge kwa style yako wewe, unge muacha tuu ukamdharau fungua kurasa mpya wacha maisha yaendele...
 
Bigdada uko hapa hapa Tanzania au mko huko majuu?
 
Na unaonekana utampa 0713 sasa hapo baba MTU ndio atajuwa wewe sio kicheche ila ni panyaroad na baba mkwe atakutimba mpaka ukome kama mm ni uyo x wako sikwambii kitu nakupotezea nali papuchi lako
 
Reactions: MC7
Ukiishinda hasira na kisasi na wewe utaitwa mwana wa Mungu, utaitwa intelligent. Kinyume na hapo basi wewe ni mdhaifu na mwana wa shetani kwa sababu ya ghadhabu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…