Lazima fainali kieleweke

Lazima fainali kieleweke

Gusa achia twende kwao

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
916
Reaction score
1,026
Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala wakuhakikisha kuwa lazima fainali hii kieleweke..

Mbuzi hao wanasafirishwa hao mpaka Zanzibar

Uzi tayari
FB_IMG_1747836285111.jpg
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Habarini Za MDA huu ,kutokana na taarifa kwamba mechi ya makolo imehamishwa kwenda Uwanja WA New Amaan Complex,hivo kupelekea baadhi ya mipango Yao kufeli ... Wameamua kuja na mpango Mbadala wakuhakikisha kuwa lazima fainali hii kieleweke..

Mbuzi hao wanasafirishwa hao mpaka Zanzibar

Uzi tayari
View attachment 3341160
Hao mbuzi wakifika kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, wote watasombwa na kupelekwa Pemba huko. Kwa hiyo shida bado itabakia pale pale. 😁
 
Back
Top Bottom