Lazaro Nyalandu ni nani?...... Ningependa kumfahamu mtu huyu!

Kid umeshakwenda sunday school au unasumbuwa baba zako tu hapa JF?
Jibu swali Rais wa UKWATA alisomea course gani pale IFM yaani Institute of Finance Management wakati huo? Uhasibu, social security, tax management au Information technology?.......,,au mrangi atakusaidia mkuu!
 
Wewe Fala Nyalandu University amesoma Marekani kenge wewe.
 
Pilato alimuuliza Yesu " wewe ni nani? na hiyo ilikuwa ni baada ya yeye Pontio Pilato kuona kuna mambo mengi yasiyo ya kawaida. Ndiposa nami baada ya kuona harakati za huyu Nyalandu kuanzia kumuoa Miss Tanzania, kusema Marekani ilimtaka agombee urais, kuratibu matibabu ya watoto wa ajali ya Arusha, kutimuliwa CCM, kutimkia Chadema na hatimaye kuwa muasisi wa zoezi la hama hama lililoshika kasi ya ajabu na hatimaye yeye mwenyewe amekaa kimya ila chama chake kipya ndio kipo taabani. Najiuliza huyu Nyalandu ni nani?......... Mwenye majawabu tafadhali!
N waziri mzigo aliyehamia chadema na kupokelewa kwa mbwembwe na chama kilichomnad kuwa mzigo na mwizi wa meno ya tembo, twiga na nyara kadha wa kadhaza serikal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom