Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

Ubarikiwe sana
 
Hakika sasa nimeng'amua ya kuwa ninyi na kundi lako la nissan ni wauaji na watesi.
Yaani mtu anayefanya jitihada za kuokoa uhai wa binadamu mwenzake mwathubutu kumwita ana kinyongo!
Ghadhabu ya Mungu itawashukia kabla nusu muongo wa utawala wenu wa damu haujaisha.
 
poor timing. Next time jifunze hili.
 
Mkuu utawekewa vikwazo manake hii sasa ni silaha ya maangamizi. Umepiga vibaya naona jamaa nataka kuficha mambo yake
 
Watu wenye roho mbaya kama yule shetani mkubwa kiongozi mkuu na mshauri wa wauwaji huwa hawakosekani mto post wewe ni mganga njaa tu huna lolote wala hufai lolote kwa maslahi ya nchi hii zaidi ya tumbo lako
 
Mlikuwa wapi kumchafua Nyarando kabla ya yeye kwenda kumuona Lissu
Hilo kaa la moto linawachoma tehe tehe tehe waliofungwa minyororo ya kutotembelea wapinzani wacha wapaki na minyonyoro yao ili wavushwe 2020
 

Lazaro Nyalandu anatoka Singida kama anavyotoka Tundu Lissu..... hivi kwenda mumsalimia mbunge mwezake wanayetoka mkoa mmoja nayo ni shida?
 
Waelewe kuwa Nyalandu na Lissu wote wanatoka Singida na ni Wanyaturu.
Nyalandu alikwenda kumjulia hali ndugu yake na hakwenda kama mbunge au kutafuta kick.
Ila mtoa mada anaonyesha kuwa na chuki kubwa na Nyalandu.
Declare Interest.
Jimbo la Lisu kwenye uchaguzi mkuu, mgombea wa ccm ni Njau ambaye yeye na Lisu ni mtu na mjomba wake.

Kaka yake Tundu Lisu Wakili Msomi wa ccm Alluthe Mughwai ni wakili wa ccm Arusha.

Watu kama huyu mleta mada ukiwapa dozi nene kuna mods wanakimbilia kutoa ban na kumuacha mnafki kama huyu anachonganisha jamii tu.
 
Nyalandu ndiye aliye sema Marekani wamesema anafaa kuwa rais wa Tanzania??? Mleta thread anaweza kuwa sahihi lakini mada yake kaileta wakati mbaya kidogo......
 
Siku zote unamuona nyalandu lakini husemi...Leo umesema hayo yote kwa sababu nyalandu kaenda nairobi kumjulia TL hali.....ndiyo maana unasema anihujumu serikali.
Bora umetufumbua macho kuwa serikali hii hapendi watu wamjulie hali TL....coz wao ndiyo wahusika wa tukio la TL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…