KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
-
- #41
Kama Nyalandu anafaa kuwa rais basi na dog wangu aitwaye Tamba anafaa. Urais mwadhani mchezo hata kama Jakaya ameushusha hadhi? Think again especially twice or thrice before you burn your fingers.
Raisi wa UKWATA
makonde,******,mnyaturu tutamalizia na msandawe ili kulinda umoja wa kitaifa na mpaka hapo hili taifa litakuwa la mwisho+
Kama Nyalandu anafaa kuwa rais basi na dog wangu aitwaye Tamba anafaa. Urais mwadhani mchezo hata kama Jakaya ameushusha hadhi? Think again especially twice or thrice before you burn your fingers.
hatutamchagua mtu kwa kabila lake
wala dini yake
ila tutamchagua mtu kwa......
by jk nyerere
Mgombea urais ccm 2015 ni lazima atoke zanzibar!!! Habari ya bara sasa imeisha yakhe!!!
Hayo ni maneno yako tu, kutembelea masoko ndio liwe chaguo la ccm? Mbona bei ya bidhaa haipungui, binafsi simfahamu kabisa wala hauziki labda matokeo yachakachuliwe tena. Naona mmetumwa mtubip hatupigi ng'o. Hatuungi mkono hoja.Taarifa za kiintelijensia zilizotua kwenye dawati langu hili muda si mfupi uliopita ni kwamba jamaa ana support ya mwenyekiti na kanisa katoliki pia!kuna watu wana bahati duniani hapa,yani from no where mshkaji anakubali na tasisis nyeti kiasi hiki?ama kwa hakika hii ni habari mbaya sana kwa Lowassa na mtandao wake!