Lawrence Masha apendekeza Mwakyembe afukuzwe Uanachama TLS

Angalau napata faraja kuona kuwa wanasheria wanatumia elimu yao vizuri kuleta matumaini mapya kwa watanzania wanyonge,
Hii iitwe "NURU GIZANI"
Ni kama tupo shimoni tena lenye Giza totoro angalau nuru hiyoooooo tunaanza kuiona kwa mbali
 
Mawakili wote, msimpomchagua Tundu Lissu mtakuwa mmepoteza hadhi ya TLS.
Miaka yote watanzania walio wengi hawakuisikia TLS, wengi wameisikia baada ya Tundu Lissu kuanza kugombea, kwani serikali haitaki chombo hicho kijulikane kwa watanzania.
Maana kikifanya kazi yake vyema kitakosoa vilivyo serikali.
Unawalazimisha?
 
TLS inaenda kuwa ni ya CHADEMA kwani mkuu wao atakuwa ametoka CHADEMA ambaye ni Lisu wa CHADEMA.
Ukweli ni kuwa TLS inaenda kujiunga na CHADEMA haitaacha tafauti za kiitikadi na kisiasa pembeni bali sikiliza kwa umakini sababu ya Lisu kuingia humo.

Mimi siko kwenye chama chochote na sipendi kuingia chama chochote, ila napenda haki, amani na upendo kwa watanzania wote. Wanasheria ni watafuta haki, amani na mwisho kunakuwa na upendo kwa kufuata masilahi ya nchi. Sijapenda na wao waingie kwenye siasa. Hata huko Isanzu kutakuwa na burugu mechi tu.
kweli mabashite yanateseka sana hivi wanaelewa maana ya siasa kweli,kifupi ni kwamba maisha ya mwanadamu yametawaliwa na sayansi ya siasa tangu kuzaliwa kwake hadi kifo chake.hata daktari anapomfanyia mgonjwa interview kwa ajili ya diagnosis nayo ni siasa kama hamjui
 
Wanasheria kwa msimamo mlionyesha mpaka sasa safi. Ila mjue tuu mkikosea dakika za mwisho mtanyooshwa nyie muwe kitu kimoja mpaka mwisho.
 
Mawakili wamelipuka kwa SHANGWE wakati TUNDULISSU anaingia kwenye ukumbi ambao mawakili wamekutania mjini Arusha. Wakati Tundulissu anaingia ukumbini, mke wa Tundulissu (ambaye ni Wakili pia), alikuwa akichangia hoja. Nini tafsiri ya shangwe ya Mawakili? Bila shaka LISSU atachaguliwa kwa kura karibia zote, tunamuomba Mwakyembe aweke juhudi kuifuta TLS.
Source; Nimesikia mwenyewe wakati nikiongea na mmoja wa mawakili.

[HASHTAG]#JSM[/HASHTAG].
Mkuu VUTA-NKUVUTE tunaomba thibitisha hili tunajua wewe upo huko
 
Kuna mapandikizi wa serikali katikati ya mawakili hao.
Na walaaniwe wanaokusudia kuvuruga kikao hicho kwa maslahi binafsi au maelekezo kutoka juu.
 
I can only imagine the joy and jubilation amongst our learned friends. Make us happy guys! TAL for TLS president!
 
Ndugu Tundu Lissu,
Amefanyia kampeni kubwa na Waziri Mwakyembe.
Naona matunda ya kampeni sasa inakuja
 
Mnajipa hope isiyo na jipya lolote katika maisha ya mlala hoi. Mawakili ni kati ya wataalam wanaochangia wanyonge kudhulumiwa haki zao mahakamani kwa kuweka fedha mbele kuliko haki.
 
Back
Top Bottom