Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,071 Reaction score 136,465 Mar 29, 2021 #1 Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,138 Mar 29, 2021 #2 My God! Mtani wangu Nyani Ngabu mengine mezea. Tanzania ina mengi sana hii na wananchi wake wengi na mengi yao. Ila kwa hili...lazima pachimbike.
My God! Mtani wangu Nyani Ngabu mengine mezea. Tanzania ina mengi sana hii na wananchi wake wengi na mengi yao. Ila kwa hili...lazima pachimbike.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 57,923 Reaction score 133,968 Mar 29, 2021 #3 Katika bango lao kwenye gazeti STAMICO wameandika wanasikitika juu ya kifo cha Mh. Rais. Nani anaitumia hii taasisi katika kuleta mtafaruku kiasi hiki
Katika bango lao kwenye gazeti STAMICO wameandika wanasikitika juu ya kifo cha Mh. Rais. Nani anaitumia hii taasisi katika kuleta mtafaruku kiasi hiki
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,071 Reaction score 136,465 Mar 29, 2021 Thread starter #4 Petro E. Mselewa said: My God! Mtani wangu Nyani Ngabu mengine mezea. Tanzania ina mengi sana hii na wananchi wake wengi na mengi yao. Ila kwa hili...lazima pachimbike. Click to expand... Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli?
Petro E. Mselewa said: My God! Mtani wangu Nyani Ngabu mengine mezea. Tanzania ina mengi sana hii na wananchi wake wengi na mengi yao. Ila kwa hili...lazima pachimbike. Click to expand... Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli?
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,174 Reaction score 34,404 Mar 29, 2021 #5 Nyani Ngabu said: Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli? Click to expand... Inasemekana it was published in one of the local dailies. Such a shame.
Nyani Ngabu said: Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli? Click to expand... Inasemekana it was published in one of the local dailies. Such a shame.
Petro E. Mselewa JF-Expert Member Joined Dec 27, 2012 Posts 10,346 Reaction score 26,138 Mar 29, 2021 #6 Nyani Ngabu said: Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli? Click to expand... Tuwasubiri wataalamu wa maandishi wafike. Hapo kama kuna maneno yamerukwa kuhusu kifo kabla ya kuapishwa.
Nyani Ngabu said: Mtani....napata shida kuamini kama ni kweli. Ni kweli? Click to expand... Tuwasubiri wataalamu wa maandishi wafike. Hapo kama kuna maneno yamerukwa kuhusu kifo kabla ya kuapishwa.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,071 Reaction score 136,465 Mar 29, 2021 Thread starter #7 Karucee said: Inasemekana it was published in one of the local dailies. Such a shame. Click to expand... And it went through the editorial process and approval? Good grief!!
Karucee said: Inasemekana it was published in one of the local dailies. Such a shame. Click to expand... And it went through the editorial process and approval? Good grief!!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 Mar 29, 2021 #8 Hatari watu hawako serious jamani looh!
Fursa Pesa JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 4,633 Reaction score 3,534 Mar 29, 2021 #9 Labda walidukuliwa kwenye Gazeti?
Opportunity Cost JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 8,996 Reaction score 6,921 Mar 29, 2021 #10 Haaaaa kweli eti in mourning of his excellence president Samia suluhu
msindikizaji JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 1,763 Reaction score 2,891 Mar 29, 2021 #11 Sidhani kama walikua wana nia mbaya...wahariri hawakufanya kazi yao ipasavyo
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 7,489 Reaction score 12,593 Mar 29, 2021 #12 Uzushi...., Yafaa tupuuze ....
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 13,296 Reaction score 42,812 Mar 29, 2021 #13 Hawa akina bashiru Alli wameanza kumtoa mama Kwenye reli
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,195 Mar 29, 2021 #14 Muandishi atakuwa yule mzee baba wa kukalimani.😂😂 🐐 Mbuzibee
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,174 Reaction score 34,404 Mar 29, 2021 #15 Nyani Ngabu said: And it went through the editorial process and approval? Good grief!! Click to expand... Sickening!
Nyani Ngabu said: And it went through the editorial process and approval? Good grief!! Click to expand... Sickening!
N NewOrder JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,122 Reaction score 2,839 Mar 29, 2021 #16 This is a top most kinda crazy! Wakalimani are all over the place. No wonder we have many misguided policies and sick strategies. People sitting at the helm have too much on their plates! Damn!
This is a top most kinda crazy! Wakalimani are all over the place. No wonder we have many misguided policies and sick strategies. People sitting at the helm have too much on their plates! Damn!
F Fumadilu Kalimanzila JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 1,886 Reaction score 5,623 Mar 29, 2021 #17 Tuliwambia muda kuwa Watanzania kudharau kiingereza wamekuwa kama misukule! Mhe.Rais Samia wasamehe bure!
Tuliwambia muda kuwa Watanzania kudharau kiingereza wamekuwa kama misukule! Mhe.Rais Samia wasamehe bure!
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,403 Mar 29, 2021 #18 Nchi imejaa wababaishaji
MAMESHO JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,432 Reaction score 1,744 Mar 29, 2021 #19 Mmh. Tunao editers na gatekeepers waliograduate kwa ku google.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,340 Reaction score 13,363 Mar 29, 2021 #20 Duh,hata yule mkalimani amezidiwa kwa ukanjanja hapa