Lawama zimwendee Mwana FA au Dully Sykes ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawama zimwendee Mwana FA au Dully Sykes ?

Discussion in 'Entertainment' started by Murwa, Jun 13, 2012.

 1. M

  Murwa Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna scandal kwamba huu wimbo wa Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net umekua sampled kutoka moja ya nyimbo za mwanadada mJamaica, sasa ingawa watu kibao hufanya hivyo ulaya na inakua kitu cha kawaida, je kwa hili letu nani alalamikiwe?
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ah,hebu weka vizuri mada mdau
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Mbona kwa design hiyo watalaumiwa wengi Ukikaa na kusikiliza kwa makini utagundua kuwa nyimbo nyingi za kidogo zimekuwa sampled nje ya Bongo!
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  lawama zikuendee wewe unaesikiiza jisongi hilo.......bongo fleva ni kwa fools......
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Nyimbo zote za fleva hazina maana, ziko sampled kwa wasani wa nje. Zamani hapa Bongo watu walikuwa hawajuwi hivyo lakini hiyo ndiyo habari kamili. Nchi za Ulaya mtu ukipiga muziki wa mwenzako inabidi ulipe kiasi cha pesa kwa msanii husika ila hapa Bongo wanatumia wizi. Time to ditch fleva turudi kwenye muziki wetu wa asili.
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi hata sijaelewa...
   
 7. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280

  Couldn't agree more with you more. I promote YOU to become a JF critic! Lete namba ya simu na waraka wako haraka iwezekanavyo.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Baada ya kuulizwa na "Gossip Cop. wa Clouds Bw.Soud Brown Dully Sykes alimtukana kuwa haongei na "MASHOGA"
   
 9. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Imenibidi niazime cheko la William Malecela...
  Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,791
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Juzi kati kuna jamaa mmoja maeneo ya sinza alipita huku akiwa kashika chupa ya Bia ya Tusker...basi nkajuwa ni wewe ndugu yangu si nkaanza kuita
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,693
  Likes Received: 12,742
  Trophy Points: 280
  Na wala sio wimbo ni beat ndiyo iko smpled ndio maana FA aka sema ni bora aulizwe dully.

  Alaumiwe aliyetukana.
   
 12. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Producer'dully' ndo wakulaumiwa zaid coz ye ndo kasample beat na kaiga na melody ya chorus.FA ye alichokifanya ni kutupia mistari yake,ila anastahili lawama endapo tu alijua kwmb dully kacopy wimbo wa msanii wa nje na kulifumbia hilo swala macho kwa maslah yake.
   
 13. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  bora we umesema ukweli.
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wazee wa ku copy na ku paste kama ilivyo, why jamani wavuta ndumu wetu kina Boban hawawezi kuwa copy na ku paste kina Balotelli tukachanua na sie uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
Loading...