Law school of Tanzania sasa imeshika sana ubora.
Shule ilikuwa ile ya kina Jaji Ndika,Tulia Ackson kwenye probate,Dr Tenga na Sisty kwenye Conveyanve,Prof Majamba kwenye legal drafting.
Sasa wamelegezewa ila wanafeli sana.
Napendekeza wale wa zamani warudishwe ili fani ya sheria iheshimike.
Wakili kwenye law firm wanalipwa laki 6 kwa mwezi,kweli maisha watayamudu?