Poleee kwa kutesekaaa na kuumia, ntakutesa sana,Pole sana kiongozi.
Ni ngoma nzuri mkuuKila nikiisikiliza tajiri,hata sielewi kwanini imebamba hivi kitaa!
Mimi naona story ndio inafurahisha,ila ukisikiliza melody,hapana aisee!Ni ngoma nzuri mkuu
Ngoma ni kali ila unaonekana una chuki na mondiHii imemuuma sana Domo naona fasta kalazimisha collabo ila Mungu alivyofundi ngoma sio kali kiivyo.
ova
Ni club banger mkuu ya kurukia majokaMimi naona story ndio inafurahisha,ila ukisikiliza melody,hapana aisee!
Sawa mkuu,ila hiyo ngoma haiwezi kuingia kwenye playlist yangu!Ni club banger mkuu ya kurukia majoka
Domo msaka nyota.Hii imemuuma sana Domo naona fasta kalazimisha collabo ila Mungu alivyofundi ngoma sio kali kiivyo.
ova
Hata mimi pia siwezi kukaa nikasikiliza ila kuna maeneo kama baa inafaa kupigwa.Sawa mkuu,ila hiyo ngoma haiwezi kuingia kwenye playlist yangu!
Wewe utakuwa aged hizi sio nyimbo zako waachie vijanambona manyimbo mabaya sana mnawezaje kuyaskiliza? bad beats, melody , hovyo tu. It shows how much watanzania wana iq ndogo.
Sio aged wala nini, nina class na knowledge ya good music sio trash ass music mnaopenda nyie. Anyway kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa kutambua ala za muziki kama hujui.Wewe utakuwa aged hizi sio nyimbo zako waachie vijana
Ni preference tu mkuu, kuna watu wanapenda muziki wowote uliopo successful kwa mainstream, wengine wanasikiliza genre moja zaidi na wengine hawana mipaka kwenye selections zao, chochote kizuri wanasikiliza..Sio aged wala nini, nina class na knowledge ya good music sio trash ass music mnaopenda nyie. Anyway kuna correlation kubwa sana kati ya IQ na uwezo wa kutambua ala za muziki kama hujui. Hizo takataka nimejilazimisha ila wapi, hakuna la maana. Sema nyie sababu lugha nyingine zimewapiga chenga hamna namna zaidi ya kukomaa na matakataka hayo. Poor quality of production, wack ass melodies. Wack music for wack people. Uchafu mtupu.