R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 15, 2023 #1 Lovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
Lovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
Mr Sir1 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,787 Reaction score 8,118 Jun 15, 2023 #2 Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa.
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 15, 2023 Thread starter #3 Testimonial said: Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa. Click to expand... Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni.
Testimonial said: Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa. Click to expand... Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni.
Mr Sir1 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 1,787 Reaction score 8,118 Jun 15, 2023 #4 Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Ok
Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Ok
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Jun 15, 2023 #5 Nimejaribu kuusikiliza mara 3 nimeshindwa kuuelewa, huenda it's not my cup of tea
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 15, 2023 Thread starter #6 Grahams said: Nimejaribu kuusikiliza mara 3 nimeshindwa kuuelewa, huenda it's not my cup of tee. Click to expand... Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Grahams said: Nimejaribu kuusikiliza mara 3 nimeshindwa kuuelewa, huenda it's not my cup of tee. Click to expand... Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Jun 15, 2023 #7 Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... Okay, ngoja niende Element kesho, huenda nikipiga vyombo huku nasikiliza nikaanza kuuelewa
Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... Okay, ngoja niende Element kesho, huenda nikipiga vyombo huku nasikiliza nikaanza kuuelewa
L Livejr JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,073 Reaction score 2,812 Jun 15, 2023 #8 Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika?
Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika?
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 15, 2023 Thread starter #9 Livejr said: Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika? Click to expand... Vibe la amapiano ni club au viwanja…
Livejr said: Wimbo hauwi mzuri mpaka uwe Club? Au tafsiri ya wimbo mzuri siku hizi imebadilika? Click to expand... Vibe la amapiano ni club au viwanja…
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,763 Jun 15, 2023 #10 Kiukweli sijauelewa jamaa nyota hana aisee basi wasafi nao hawaipi promo ngoma tofaut na zuchu au mboso
Kiukweli sijauelewa jamaa nyota hana aisee basi wasafi nao hawaipi promo ngoma tofaut na zuchu au mboso
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 16, 2023 Thread starter #11 fundi bishoo said: Kiukweli sijauelewa jamaa nyota hana aisee basi wasafi nao hawaipi promo ngoma tofaut na zuchu au mboso Click to expand... Kwenye kutokutoa ushirikiano sijajua why lakini jamaa anajua sana
fundi bishoo said: Kiukweli sijauelewa jamaa nyota hana aisee basi wasafi nao hawaipi promo ngoma tofaut na zuchu au mboso Click to expand... Kwenye kutokutoa ushirikiano sijajua why lakini jamaa anajua sana
Linchpin Member Joined May 25, 2022 Posts 75 Reaction score 142 Jun 16, 2023 #12 Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... kwahyo tukusanyike club kwenda kuhakiki kama wimbo ni mzuri au mbaya 🚮
Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... kwahyo tukusanyike club kwenda kuhakiki kama wimbo ni mzuri au mbaya 🚮
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,672 Reaction score 3,737 Jun 16, 2023 #13 Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Mtaa gani?
Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Mtaa gani?
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 17,050 Reaction score 23,758 Jun 16, 2023 #14 Testimonial said: Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa. Click to expand... Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurika
Testimonial said: Huyu jamaa sijui ana gundu gani. Kipaji anacho ila mvuto zero kabisa. Click to expand... Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurika
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,215 Reaction score 18,956 Jun 16, 2023 #15 Kama ni amapiano Basi acha mwenyewe abaki tu nayo.
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 16, 2023 Thread starter #16 Hziyech22 said: Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurika Click to expand... Sure tofauti na wenzake nyimbo tano tano kwa mwaka
Hziyech22 said: Sio kwamba ana gundu sema ana utaratibu sio mzuri wakutoa wimbo jamaa anatoaga wimbo mmoja kwa Mwaka ndio maana anasahaurika Click to expand... Sure tofauti na wenzake nyimbo tano tano kwa mwaka
Benaya- JF-Expert Member Joined Jul 31, 2019 Posts 4,416 Reaction score 7,649 Jun 16, 2023 #17 Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club? Natoa wito machawa wote rudini shule
Realboynicky said: Kausikilize ukiwa club. Amapiano inahitaji uwe na vibe. Click to expand... HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club? Natoa wito machawa wote rudini shule
R Realboynicky Senior Member Joined Mar 31, 2023 Posts 166 Reaction score 311 Jun 16, 2023 Thread starter #18 Benaya- said: HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club? Natoa wito machawa wote rudini shule Click to expand... Hujui mziki kaa pembeni
Benaya- said: HUu sasa ufala, hao unaowasema mtaani wote wapo club? Natoa wito machawa wote rudini shule Click to expand... Hujui mziki kaa pembeni
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,117 Reaction score 165,385 Jun 16, 2023 #19 Lavalava umejianzishia uzi
T too_short Senior Member Joined Mar 19, 2023 Posts 160 Reaction score 413 Jun 16, 2023 #20 Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Mitaa gani anayohit nije nikahakikishe?
Realboynicky said: Wewe ndo unasema hivyo ila jamaa anahit mbaya kitaaa tofauti na mitandaoni. Click to expand... Mitaa gani anayohit nije nikahakikishe?