Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa...
Hakika ni chakula bora cha masikio yetu
Wimbo mpya wa lavalava dede ni hatari...ujumbe mzuri,mashairi murua kabisaa...
Hakika ni chakula bora cha masikio yetu
Kweli kabisa..laizer kashazidiwa na majukumu...nashauri wafanye usajili wa maxmaiza,yule producer ni hatari mnooIla beats zao nyingi ukisikiliza kwa jaribu hufanana! Producer wao aongeze ubunifu.