LAURENT Koudou GBAGBO yuko wapi?

LAURENT Koudou GBAGBO yuko wapi?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
huyu kiongozi muafrika kaisia wapi? sijamsikia long time saan ..afrika inachekesha kweli ..
anatofauti gani na mkulu?
 
hana tofauti kabsaaa yaani sera km za jamaa wa msoga! lkn na yeye sooon atakimbia ikulu tuu
 
Laurent Gbagbo yuko kwenye jengo lililopo nyuma ya geti hili chini ya ulinzi (kama alivyosema Jasusi), kwenye mji wa Korhogo uliopo kaskazini mwa Ivory Coast, akingojea kesi yake.
gbagbo-korhogo.jpg
Hali yake sio mbaya (Gbagbo bado anakula bata)!
gbagbo.jpg
Huyu ndie mwendesha mashtaka Simplice Kouadio Koffi (kushoto) akiwa pamoja na kamanda Fofie Kouakou wa kanda ya Korhogo walipokuwa kwenye nyumba ya Gbagbo. Mahojiano na Gbagbo kuhusu kesi yake yameanza Jumamosi iliyopita. Ingawa wanasheria wake (Gbagbo) hawakuhudhuria mahojiano hayo daktari wake wa binafsi alikuwepo.
simplice-kouadio.jpg
 
labda naye kafichwa kama bilali
Kuna tofauti kati ya Gbagbo na Balali (bilali?). Gbagbo anajulikana alipo na ameshatembelewa na Bishop Desmond Tutu, Kofi Annan, na Mary Robinson (UN Human Rights chief)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom