Laughter series: Why studying is better than sex....!

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Dec 23, 2007
1,535
408
1. If you aren't sure what you're doing, you can always ask your roommate for help.
2. You don't have to put your beer down to do it.
3. You don't get embarrassed if your parents interrupt you in the middle.
4. You can do it, eat and watch T.V. all at the same time.
5. If you don't finish a chapter you won't gain a reputation as a "book teaser."
6. A little coffee and you can do it all night.
7. When you open a book, you don't have to worry about who else has opened it.
8. You can finish early without feelings of guilt or shame.
9. If you get tired, you can stop, save your place and pick up where you left off.
10. You can usually find someone to do it with.
 
Labda kama unamaanisha sex, lakini study! Huh! i doubt...

Aaaah mkuu au umesoma academia...? si unajua discussion uswazi ndio zimetutoa? Ukiona mambo hayaendi unatafuta wadau mnakaa pamoja mnapiga discussion! Kwa hivyo mkuu....studying bomba uhangaiki peke yako uko tayari kushare knowledge na wenzako, lakini kale kamzigo noma huwezi kumwita rafiki yako akusaidie kusukuma soka....!
 
Mkuu Kwetu,
Hapo uko sawa kabisa. Nakumbuka siku tumeshushiwa Complex number na mwalimu Sambayuka pale TCA (Arusha), nilitoka kapa. Na hii huwa ni kawaida yangu kwani kwenye lectures huwa nafikiria vitu vingine kabisa kama sielewi. Tumemaliza tu nikaanza kucheka kuwa hizi namba ni madudu matupu. Jamaa mmoja aitwaye Misonge (na yes, alikuwa Misonge kweli kwani aliondoka na A zote - Ila nasikia aliacha UDSM) aliniambia "ahh mbona rahisi?" Nikamuuliza kama alikuwa anadanganya, akasema hapana, yeye kaelewa vizuri tu hata anaweza kwenda kufanya mtihani. Nikamwambia kama anaweza kunishushia hizo namba, akasema no problem. Masaa matatu baadaye nilikuwa nashusha na mimi Complex number.
Misonge, popote ulipo nasema asante kijana.....
 
Du umenikumbusha complex numbers!Math A level zilinikimbiza kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom