Asante mkuu widow disc nitazipata wapi mi ni mgeni kwenye IT
Siyo lazima uwe IT ndugu. Jaribu tu kujifunza mambo ya msingi kwenye PC yako. Kikubwa, hapo sometimes ni software updates zinazokuwa na bugs. Mara nyingi external devices kama printers, storage drives kama external hard disks, flash disks pamoja na card reader zinakuja kuonekana kama unspecified devices.