LATRA yapiga marufuku wahubiri na wachuuzi wa bidhaa ndani ya mabasi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
45,536
52,591
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk.

My Take: Naunga mkono uamzi huu maana mlichelewa sana. Watu wale Huwa wanakera mno.

Screenshot_20240515-050527.jpg

20240515_050421.jpg
 
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk.
View attachment 2990576

My Take: Naunga mkono uamzi huu maana mlichelewa sana.Watu wale Huwa wanakera mnoo.
Siowatuuu hawaaaa sitosahauu tulipanda basi moja la lim gearbox ikaaribika

Kondaa akakikmbia tuko 45 watu to moshi

Dreva akaanza kelele sinahela subirin gari inatoka dar saa nne usiku hapo

Tukawapigia wakaanza ngoja tuangalie mmiliki baadae wakapiga inakuja basi lao lingjne liko msatq tukasuburia mpaka saasabq limekuja lina siti 5 tu empty

Tukapiga kwa latraa wakatupa namba ya Meneja wa eneo lile mmmamama

Kumpigia alipokea baada ya dk 10 tukamjuza mbona gari imejaa na mlisema kuna siti 40 lim inayokuja akajibu pandeni hivyo hivyo wengine simameni tytawajulisha traffick shida yenu

Hakiya mama sina hamu wamama wazee walisimama mpaka moshi wenginne wakanzaa kukaa kwenye koridor achatu

Sinahamu naoo
 
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk.
View attachment 2990576

My Take: Naunga mkono uamzi huu maana mlichelewa sana.Watu wale Huwa wanakera mnoo.
Kwani zile marufuku walizokuwa wakipiga tangu enzi za Mkapa walizitengua!
 
Sahihi kabisa, binafsi nilikuwa nakwazika sana na mahubiri kwenye mabasi. Ni jambo jema kuhubiri, ila kila kitu kina mahala pake, sio kila mtu anataka kusikiliza mahubiri yako. Mwenye uhitaji aende kanisani akapate upako.

Kuna irregularities nyingi sana nchi hii, wakiamua kuzisimamia zote walau pollution itapungua.
 
Back
Top Bottom