Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,299
- 17,382
Nimekuwa nikifwatilia siasa za Marekani kwa muda sasa, kinachonishangaza ni kusikia kwamba hawa watu wanaoitwa Latino amabo wanatokea Marekani Kusini ambao wanaongea Kihispania, kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo wanavyozidi kuwa na nguvu huko Marekani kiasi cha sasa nasikia kuna baadhi ya Majimbo Marekani yanatumia Kihispania kama lugha ya taifa sambamba na kiingereza, na hata ili uwe Raisi huna budi kuwaangukia angalau kidogo!
Sasa swali langu ni kwamba, Je sisi Waafrika tuna huo uwezo? yaani uwezo wa kuhamia mahali kwa wingi na kuweza kubadilisha hali ya maisha ya hilo eneo kama vile jamii nyingine kama hao Latino? Yaani Waafrika ni wengi pia Marekani na nafikiri kila siku wanazidi kuongezeka, sasa Je ni kwa nini sijawahi kusikia jamii ya Waafrika wanaishi sehemu fulani na ikawa maarufu kama vile China town kwa Wachina au Korean City kwa Wakorea au hata Wavietnam tu? Nimesikia tena juzi Uingereza sasa kipoland ndio lugha ya pili kuongewa baada ya kiingereza kutokana na uwingi wa raia wa hiyo nchi huko Uingereza, Je, kama hao Wapoland ndio wangekuwa sisi Watanzania tungeweza kuwa na huo uwezo kwa mfano kufanya kiswahili kuwa Lugha rasmi ya Pili Uingereza? na kwa nini?