Late night thoughts: Share you mood

Niko namalizia hapa jackdaniel ndogo huku nikiwaza na kujiuliza nikwanini niliuza game kwa dem ambae haeleweki stress mbaya sana nimeambulia leo final warning dhaa mood mbaya sana..ndugu zangu..
 
Niko namalizia hapa jackdaniel ndogo huku nikiwaza na kujiuliza nikwanini niliuza game kwa dem ambae haeleweki stress mbaya sana nimeambulia leo final warning dhaa mood mbaya sana..ndugu zangu..
Mkuu pole sana kapime upate uhakika wa afya yako
 
Ndio mkubwa saizi nina mwezi nanusu atleast nataka ipite miezi miwili ndo nikapime shida inakuja nina final warning job yaani nahemea jujuu eeh Mungu nisaidie..
Pole sana mkuu, jitahidi usiingie tena kwenyw danger zone, all shall be well
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom