Late night thoughts: Share you mood

Late night thoughts: Share you mood

Kuna binti kaning'atisha mbu jana usiku .

Sasa ivi ananiletea story za sorry baby nlilala ,yaani naona ndo ananivuruga kabisa ,kmmke
 
Kuna binti kaning'atisha mbu jana usiku .

Sasa ivi ananiletea story za sorry baby nlilala ,yaani naona ndo ananivuruga kabisa ,kmmke
Pole mkuu, vumilia tu hawa mabinti bana ndo walivyo, tena sasa hivi wana kamsemo kao eti tunaongoza nchi msitubaishe
 
Heartbroken. Stressed. Mood iko chini sana. Alaf kila channel unayoweka unaskia nyimbo za huzuni tu, basi wanazidi kunichanganya
What went wrong mkuu? Pole sana, jipe moyo yatapita, kama vipi sikikiza music kutoka youtube maana nchi ipo kwenye maombolezo
 
Ni stress tu hapa..nina stress sijiamini nilikopita mwezi ulopita bado leo nimefanya *** up job nakwambia achabaadae nipitie ata Jackdiniel ndogo nijidunge...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom