Huyo ndo mpenda wengine, wote tunastahili hali Bora,ameishi kati yetu, alikuwa mwenzetu. R.I.PDah, Hayati Dkt Masau amefariki akiishi kwenye Makazi yasioendana na Hadhi na Mchango wake kwa Taifa kule Mbweni Nje Kabisa ya Jiji la Dar es salaam. Historia na Mchango wako umeandikwa kwenye Vifua vya wazalendo!