Nimezoea kuwaona viongozi wetu wa kitaifa wakihudhuria kila msiba lakini cha ajabu sijaona hata press release ya ikulu ikitoa pole kwa familia ya Dr Massau km ambavyo tumekuwa tunaona inatoa hata ya wasanii? Kulikoni leo hata Kikwete, waziri mkuu na mawaziri wake hasa wa wizara ya afya kutohudhuria kuaga mwili hata kuhani tangu dr Massau afariki majuzi? Jamani serikali walau itambue tu hapa mchango wake japo Dr Massau sasa ni marehemu.